elimu,
mpya
MAJANGA : MWANAFUNZI AJINYONGA KWA HOFU YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE...TAZAMA PICHA
10:11 PM
Mwanafunzi
aliyekuwa akisubiri kufanya mtihani wa kidato cha nne unaotaraji
kuanza kesho Bw Khamis Mkundo mkazi wa Mwangata C katika Manispaa ya
Iringa akiwa amejinyonga usiku huu kuhofu mtihani wa kidato cha nne
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwangata C Bw Sarehe Mgimwa akisoma ujumbe ulioachwa na marehemu huyu
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI
Askari kanzu akikagua mwili wa mwanafunzi huyo
0 comments