Prezident akifurahia kamessage kutoka kwa ............. ndani ya Lagos |
Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi yuko busy akifanye yake Studio na Davido na kutuonjesha kidogo nyumbani kwa mwanamuziku huu kwenye video hii hapa chini. Babu Tale na Moses ndani ya nyumba pia.
BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO
Watu wako kikazi zaidi checki maaward ya Davido aisee si mchezo dogo anatisha.
"Rubber band for what...???? Money is tied by Money #USD #Gold #Valuables #WCB for Life mama..!" Maneno ya President hayoooooo
0 comments