mpya
HII NDIO LIST YA MATAJIRI 50 AFRICA, WABONGO WANNE NAO WAINGIA KWENYE LIST...BOFYA HAPA
12:40 AM
List imeongozwa na
Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza
ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki
list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
Unapenda kupata stori motomoto kama hizi kila siku na kwa wakati? jiunge kuwa mdau wa Tanzanianewz.com kupitia facebook.com/ Tznews 70 na twitter.com/TzNews 70
-Millardayo.com
0 comments