­
,

UNAJUA DAVIDO ANAKUNJA KIASI GANI CHA PESA KWA SHOW 1?? INGIA HAPA UONE

2:06 AM

Kwa Tanzania tumeanza kuona matunda ya muziki wa Bongo Flava kipindi hiki kwa kuzingatia kuwa mwanzoni watu walikuwa wanalipwa hadi 50,000 kwa show moja lakini sasa wasanii wanachukua hata zaidi ya milioni 5 kwa show ya ndani.
Davido 
Huko Nigeria watu wanaowekeza kwenye muziki wameanza kuyaona matunda yao hivi sasa ambapo kaka yake Davido ambaye pia ni mmiliki wa label HKN record akiwa na Davido ameweka wazi kuwa Davido huingiza $50,000 (zaidi ya Milioni 84) kwa show moja anayofanya.
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.

Davido ni mshindi wa tuzo mbili za MTV MAMA 2014.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....