,

SHABAASH!! HATIMAYE MASOGANGE AANIKA PICHA AKIWA NA JAMAA ANAYEMGEGEDUAGA, HAPA ZIPO PICHA 4 MATATA

10:51 AM

Story nzima inatokana na uchunguzi wa DOMOZEGE BLOG, kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE  kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa bongo hapa huwa anajishughulisha na kazi ya  u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...TEMBEA NAMI:

Picha ya kwanza ya huyu jamaa alipost  miezi miwili iliyopita!!!

Wambea tukapotezea!!! Dah

Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote ......washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE ....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!

Na kweli  toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in diamond voice" punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika  "With my Everything"

Daah kumbe nilikuwa nachelewa...jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM.....

Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni......Jionee mwenyewe!!!

Hongera sana Jamaa kwa kumtuliza dada yetu....na hakikisha arudi tena BONGO....

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....