,

SAMAHANI KWA PICHA HII INATISHA...

8:26 AM



Tukio hili la kusikitisha limetokea leo hapa jiji maeneo ya Buzuruga kijana mmoja ambaye alikuwa amebebwa katika pikipiki sasa katika zile haraka haraka za dereva wa boda boda kuwahi ikabidi avunje sheria sheria na kujikuta akiovateki roli kubwa ambalo mteja wake huyo alijikuta akinaswa kwenye roli na [lasket]begi dogo ambalo alibeba mgononi na kujikuta akiingia katika uvungu wa gari ndipo dimbwi la damu na mauti yakawa yamemfika pale pale

Kiroho tupo nae lakini kimwili hatutomuona tana kijana huyu sikubahatika kulijua jina lake ila kwakuwa sote ni ndugu basi tumuombee mbele yake mungu

COMENT R I P pia share nawengine wamuombeee
 
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....