RIHANNA AFUNGUKA JINSI GANI ANAMPENDA HUYU MSHAMBULIAJI WA GHANA..
12:21 AM
Baada ya kuwa single kwa muda sasa baada ya kuachana na mpenzi wake Drake, Rihanna ameamua kuonyesha wazi kuwa anampenda huyu mchezaji wa Ghana. Bila kuficha aliamua kutweet hii kitu hapa chini......mmh. TUSUBIRI TUONE
0 comments