­

MZEE WA UPAKO AMCHARUKIA GWAJIMA, AMPA MANENO MAKALI, SOMA HAPA...

1:21 PM


Mzee wa Upako
Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusiowajua?!


Mchungaji Gwajima
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....