mpya,
wasanii
HAHA!! MAHABA NINYONGE NIGARAGAZE....SOMA ALICHOPOST 'NUHU MZIWANDA' KUMHUSU SHILOLE..
9:57 AM
Nuhu Mziwanda ambaye ni mwanamuziki chipukizi wa Bongofleva anaonekana kukolea vilivyo kwenye penzi la Shilole ambaye pia ni mwanamuziki na actress, 
kupitia mtandao mmoja wa kijamii Mziwanda ameandika maneno hayo hapo chini napia kupost picha.........................

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments