
Wengi tunamfahamu Diva kama ndiye presenter maarufu katika kipindi chake cha Ala za roho cha Cloudsfm, ila cha kushangaza zaidi, juzi kati alifunguka na kusema kuwa talent yake haishii kwenye utangazaji , alizidi kufunguka na kusema kuwa ana kazi nyingine inayomfanya ajulikane kwenye system ya nchi na
kumfanya awe huru sehemu zote za nchi, yani hiyo ni mbali na utangazaji wake kwenye redio kama watu wengi walivyozoea, kitendo hiko kilifanya mashabiki wake wengi wabaki na maswali mengi bila kujua ni kitu gani haswa, huku diva mwenyewe akiwaacha mashabiki hewani kwa kutotaja kazi yake hiyo isiyojulikana..Je unadhani ni kazi gani hiyo?

0 comments