matukio,
mburulaz,
wasanii
CORAZON, AGNES MASOGANGE WASIFIANA KUWA NA INYE KUBWA...JIONEE HAPA
12:39 PM
Daah NOUMA sana, Katika hali ya kufurahisha wadada wanaotikisa hapa Afrika Mashariki kwa kuwa na Maumbo ya HATARI... Corazon kutoka Kenya na Masogange kutoka hapa 255.
ISHU ILIKUWA HIVI;
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Masogange alianza kwakuweka picha ya Corazon na kuandika"I'm in love with her watu na ma ass yao duh mm hapa sigusiii ndukiiiii @lilythegenie"
Baada ya muda mfupi kupita, Corazon nae aliweka picha ya Masogange na kuandika"This chick though, blazing! Fire! Face, complexion, figure, wonderful heart.. love her to bits @misgerald #kisses. She my WCW for real"
Hii ni kwamara ya kwanza kwa wawili hawa kusifiana huko INSTGRAM
0 comments