matukio,
mpya,
wasanii
BAADA YA KUACHIA PICHA TATA AKIWA NA NANDO, DYNA AFUNGUKA KUELEZEA MAHUSIANO YAO...
1:49 AM
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Dayna aliye-make headlines na kuzidi ku-hit kwenye tasnia hii ya muziki wa Bongo fleva, hatimaye
afunguka kuhusu picha zilizokuwa zinaleta utata kwenye mitandao na Blogs mbalimbali nchini, huku ikibua maswali mengi kuwa wawili hao ni wapenzi au la.”Habari hizo si za kweli, mimi na Nando ni marafiki
tu tulioshibana, na ndio maana tumeweza kupiga picha zenye ukaribu namna hiyo, kama ilivyo kwa marafiki walioshibana yeye mara nyingi hunipa kampani, na mimi pia huwa nampa kampani, ila hakuna mahusiano yoyote ya mapenzi yanayoendelea baina yetu, ni Marafiki tu toka zamani”- alimalizia kufunguka
Dayna, kuweka sawa utata wa picha alizoweka kwenye mtandao wa instagram na kuzua utata mkubwa.
Je, umezisoma hizi ?
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments