mpya,
wasanii
BAADA YA KIFO CHA TYSON, MONALISA ATOA NENO ZITO KWA WANAOJIITA WAKE WA TYSON...SOMA HAPA
2:07 AM
Kuna mengi yametokea baada ya kifo cha George Otieno Okumu au unaweza kumuita George Tyson na moja likiwemo kujitokeza kwa wanawake wanaojiita wake zake. Baada ya msiba kuisha monalisa ameamua kujibu hayo kwa kusema haya ,
“Let me clear the air.ni hivi,pamoja na ujinga tulioufanya mimi na George ktk maisha yetu,kwa macho ya kibinadamu utasema alikuwa na mke mwengine..bt kwa macho ya kiMungu mimi ni mke halali wa George Otieno Okumu aliyelala.anayesema mke wa tyson alijifungia ndani mm nikawa nachukua pole zisizo zangu,dah!kwanza wanawake walikuwa wawili ndani sio mmoja.na wote walijifungia ndani,kwanini?ni wakristo na wanaijua dini.waombolezaji waliokuwa wakinipa pole mimi,ni kwann?jiulize kabla ya kuropoka halafu ww ni mwanamke kuna siku yatakukuta.nilienda kutimiza wajibu wangu kama mke,ningelia peke yangu kwetu mngenisema sana,nimekaa msibani naambiwa nachukuwa pole za bure.wacha nikukumbushe maandiko…Alichokiunganisha Mungu?….;kilichofungwa duniani?…..;nikupende,nikutunze hadi kifo?….. sasa kifo kimetutenganisha.siku ya mwisho unadhani George ataitwa na nani?pamoja na mambo yake yote wacheni nimlilie he was a good father kwa Sonia wangu esp.miaka 5 ya mwisho wa uhai wake.acheni nimlilie he was my best friend 1998-2014.nimeshare nae kitanda 2000-2006.nitakuwa mtu wa aina gani nisiwe na uchungu?ukiona mwanamke mwenzio kaishindwa ndoa usimcheke jua kuna sababu..na ni fundisho kwa wachukua waume za watu wote mjini,mume akiumwa huwa anarudi kwa mkewe,na akifa?and for ur info..msianze anajifanya mke ss hv ili apewe mali..Sonia ni mali kubwa sana alioniachia am so happy.waaache wao wanaolilia kupewa pole wapiganie.mwenyewe aliyetafuta kafa kaziacha sembuse tuliobaki?niacheni nimlilie,waacheni fans wangu walie na mm.“
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments