,

BAADA KUONESHA GARI YA MIL. 35 ALONUNUA, NEY WA MITEGO AONESHA MJENGO WAKE MPYAA, TAZAMA HAPA

12:31 AM

Kama ukitaja wasanii wa bongo flava ambao wanaweza kuspend hata milioni moja kwa siku basi hauwezi kumsahau nay wa mitego hasa ukizingatia mkataba mnono wa matangazo alioupata na kampuni ya Airtel.
Ney wa mitego na Barnaba
Ney wa mitego na Barnaba
Baada ya kutuonesha gari lake jipya aina ya Nissan  Murano alionunua kwa shilingi milioni 35 sasa ameamua kutuonesha nyumba yake mpya anayotarajia kuhamia hii leo…
Nay-wa-mitego-nyumba-mpya-vibe-co-tz


USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....