Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha.
Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya
mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe
Mrembo mwenye mvuto 2014?
Andika jina la mbunge husika kisha tuma kwenda namba 0713 750 910.
Kazi ni kwako.

USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI


0 comments