matukio,
mpya
PICHA ZA MAMBA ALIYEKUWA AKIISHI KWENYE MAKAZI YA WATU DAR, NI HATARI. TAZAMA HAPA
12:25 AM
Yule
Mamba aliyekuwa akiishi kwenye makazi ya watu Kinondoni Block 41, jijini
Dar es Salaam hatimaye jana May 4, 2014 ameuliwa kwa kupigwa na risasi
zipatazo nne. Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la tukio alisema
kuwa Mamba huyo amekuwa akiishi kwa muda mrefu licha ya Wananchi kutoa
taarifa kwa mamlaka husika.
"Leo
ameuwawa Mamba ambaye alikuwa akitulaza kwa hofu maana alitokea
kujichanganya kwenye makazi ya watu ndipo watu walipomshambulia na
baadae ilibidi tupate msaada wa jirani yetu ambaye alikuwa na bastola
na kufanikiwa kumpiga risasi nne na kumuua. Picha zote na EMMA Mdau wa
Kajunason Blog akishirikiana na Erick Mgema.
Mamba akiwa amewekwa juu ya gogo ili wananchi wamwangalie vizuri katika kituo cha Osterbay jijini Dar.
Mamba alikuwa amekomaa kukadiliwa anaumri wa miaka mitano...
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments