NISHA AELEZA SABABU ZILIZOMFANYA AMPIGE KIBUTI NEY WA MITEGO, INGIA HAPA
4:05 AM
Msanii
wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu
kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa
Mitego. Akiongea Nisha alisema" Unajua
Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka mtima wangu hadi leo
hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye lakini sasa nilikuwa
napata shida sana kwake" Alisema Nisha Msanii
huyo aliendelea kusema kuwa" Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa
anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana
na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema Hata
hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa zilizopelekea kuchukua uamuzi huo
ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo
maana alichukua maamuzi hayo magumu.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments