Ugonjwa wa Dengue unaanza kuwa Tishio miongoni mwa wakazi wa jii la
Dar-es-salaam, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa
vikiripoti kila kuona kuhusu ugonjwa huu Hatari. Katika pitapita za
mwandishi wetu katika kurasa mbalimbali za Mastaa kuona wanazungumziaje
ugonjwa huu na wanahamasishaje jamii namna ya kujikinga na kutafuta tiba
pindi wanapo hisi dalili zozotre za kuumwa ,.. tukakutana na hii kutoka
kwa Jaqclin Wolper a.k.a WolpreGambe....
NUKUU, Wolperegambe:
DAKTARI AFA KWA DENGUE: Dkt Bigwa wa
magonjwa ya akili nchini, Gilbert Buberwa afariki dunia Muhimbili leo
kwa ugonjwa wa dengue, Dkt P, saidia athibitisha iwapo itatokea kila
dalili za homa ya Dengue. dawa ya kukimbilia kwanza ni Panadol,
inashauriwa usimeza kabisa dicloper wala Diclofenack: Iwapo utameza dawa
hiz, utakuwa kwenye uwezekanao mkubwa wakupioteza maisha!! upatapo
taarifa hii mjuze na mwenzio....... imetolewa na wizara ya afya!
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments