Daah hii ni noma sana....Sitaki mwanangu awenakipaji cha kuigiza kabisa (Hasa akiwa mwana mke)...Kumbe ndiomana huyu mwana dada kutoka Kenya haikuwa shida sana kuonyesha MAKALIO yake kwenya Movie iliyompa TUZO (12 YEARS OF SLAVE)..Sababu kabla alishawahi kushiriki kewenge hizi short film za MTV (Zamaswala ya Kimapenzi)...zijulikanaozo kama SHUGA
Hapa nimekuletea baadhi ya PICHA TU za hiyo kitu.. Jionee mwenyewe!!
0 comments