Sijui ni fashion au ndio mauzo yenyewe. Hiki kivazi alichovaa Hudddah kinaonesha kila kitu....kuna haja gani ya kuvaaa nguo wakati kila kitu amekiacha wazi. Wasanii wa bongo msiige, maaana nyie ndio mabingwa wa kukopi na kupesrti style za watu hata kama ni za kipuuzi
SOMA HIZI PIA
0 comments