Wema & Kajala enzi zao |
Baada ya mambo na thuhuma juu ya Kajala kuwa nyingi, matusi
kuongezega na watu wengi wengine kuanza kuhusishwa kwenye so called
beef la Wema na Kajala huko Instagram, hatimaye Manger wa Wema ame amua
kufunguka kama ifuatavyo.
This is sad I just hope haya mambo yatakuja kuisha na watu wabakie na
amani even kama hawata kuwa marafiki tena but amani itawale.
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments