KUTOKA KWA MDAU
Tunajua kuwa SOCIALITE na MODELS wote mtaji wao ni muonekano wao...yaani the way anavyoonekana ndivyo watu wenye kutaka kuwatumia kwenye ishu zao huwafuata na kuwapa DILI....mara nyingi ni dili za picha za majarida, mabango ya matangazo,kutatangaza mavazi, video, na wakati mwingine shighuri binafsi....
Kwa hapa bongo tuna models ambao pia ni Ma-SOCIALITE wengi...But leo naomba ni mzungumzie Agnes Gerald a.k.a Agnes Masogange ambae bila shaka wote tumamfahamu...Ameshafanya vingi kuanzia videos, majarida, nk akiwa kama Model...kwaupande wangu huyu ndio video model maarufu kuzidi weto kwa hapa bongo...
Kama unavyojua kila model yoyote yule mwili wake ndio biashara yake...kama nilivyoeleza hapo awali...Na kila model akitu tofauti ambacho huwa ndio kama mtaji au msingi au identity yake...ambayo huwa kinamfanya ajivunie huku akiamini kuwa hiki ndicho huniingizia siku.... Kitu hicho kinaweza kuwa ni sura, rangi,nywere,kifua, nk.
Kwamtazamo wangu....Kwa upande wa Agnes Masogange ni MAKALIO YAKE ndio mtaji wake...Naamini wengi mtakubaliana na mimi na hata yeye analijua hilo....Picha na video nyingi anazo weka kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM kwanamna moja au nyingine zinalenga kuonyesha jinsi alivyoumbika maeneo ya nyuma...Kitu ambacho wadau tunakubali....Ndio maana cha na zideo za namna hii huwa zina comments na like za kutosha...kuonesha kuwa ametubamba...
Haya ni mawazo tu....Tusichukiane wa shkaji. NI MIMI MDAU WA DOMOZEGE BLOG
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI
0 comments