,

WASANII BONGO WAHINDANI KUANIKA NYETI ZAO HADHARANI, SASA HIVI NI ZAMU YA LULU...TAZAMA ALIVYOJIANIKA

5:55 AM


Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo. kama hukuona alichopost Diva siku ya jana bofya                                                                           HAPA
 
leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.

Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??

Credit: Swahilitz
 


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....