Picha ya mahaba
waliyopiga Ray na mpenzi wake Chuchu Hans inayofanana kwa asilimia 100
na ile waliyopiga Kanye na mke wake mtarajiwa Kim Kardashian, imezua
maneno na minong'ono kwa mashabiki juu ya kucopy na kupaste kwa picha
hiyo inayofanana na kuponda kwa kusema kuwa wabongo wameishiwa ubunifu
kazi imekuwa ni kucopy tu, Tazama picha hizo hapo chini
Original ya Kanye na Kim |
Copy and Paste ya Ray na Chuchu Hans |
Na wewe mdau unafungukaje juu ya picha hizi
-SWAHILI TZ
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments