UJUMBE WA DIAMOND KWENDA KWA MADEE
3:55 AM

Ikiwa leo
ndio kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake raisi wa Manzese, Madee.
Tarehe 25 mwezi kama huu, wasanii mbali mbali wametokea kumtakia maisha
marefu na wengine kumpongeza kwa njia mbali mbali, ila kwa hii ya
Diamond Platnum ni kali kuliko yote, Diamond ameamua kushusha ya kwake
yamoyoni kupitia account yake ya instagram, katika kukubali juhudi zake,
kama msanii mkongwe na kumshukuru kwa yote.

“Naamini
moja ya kitu kinachokufanya uzidi kufika mbali na kufanikiwa zaidi ni
jinsi ulivyo na upendo kwa wasanii wote.. hususan upcoming, Nimenza
kukuskia kabla sjui lini nami ntakuwa flani hadi leo kufikia hapa lakini
skuzote umekuwa ukinisuport tangu naanza hadi sasa na kunielekeza
katika kazi zangu mbalimbali… Nakuheshim sana Bro! Happy birthday..
Mungu akupe maisha maref yenye amani na mafanikia tele… Eta Tudele!”
alimalizia Diamond Platnumz
>>Vibe.co.tz
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments