Siku ya Kusherehekea sikukuu ya Pasaka
Ilikuwa ni siku ya Kihistoria Mjini Hapa Kwa kuwepo kwa Show ya Kundi
la Kutoa Burudani Lijulikanalo kama Kanga Moko..
.Hakika hawa wadada wameamua Kutafuta Pesa Kwa njia ambayo wao wameona inawafaa, lakini Je ni Sahihi kwa kufuata maadili ya tamaduni zetu kufanya Haya?
.Hakika hawa wadada wameamua Kutafuta Pesa Kwa njia ambayo wao wameona inawafaa, lakini Je ni Sahihi kwa kufuata maadili ya tamaduni zetu kufanya Haya?

Wadada hawa hucheza Nyimbo ambazo
zimeimbwa na wasanii wengine hasa hupendelea Taarabu au hata zile zenye
Sebene zuri ambazo zimetokewa kupendwa na Watu. katika Pita pita zangu
kusaka habari katika Usiku huo wa pasaka Nilibahatika Kuingia katika
Ukumbi Mmoja na Kukutana na hichi kituko....
Siwezi sema mengi kama Tujuavyo makundi
yanayojiita hili jina yanajulikana nini wanafanya wawapo stejini
Nikaona si Vibaya Ni ka Share na wewe ndugu Msomaji.

Lakini Tunawaomba wawe wanacheza tu
lakini Kufikia Kuvua Nguo Hadharani si Kitendo Cha Busara kabisa Tuna
jua wanatafuta Pesa lakini Pesa kwa kujidhalilisha Hii si Sawa.
Kitendo Hicho cha Kuvua Nguo kilileta
Tafrani Ukumbini hapo kwa Baadhi ya Wanawake waliokuwemo na Kutaka show
Hiyo kusimamishwa kwani walisema huo ni dhalilishaji wa wanawake.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments