,

PICHA NYINGINE ZA UTATA ZA SNURA AKIWA NA DJ WA MAISHA CLUB, ONA HAPA

3:55 AM


Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha..!


Kwa mujibu wa
mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidi kufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!
Jamaa aliishia hapo akasema alikuwa anapita tu!


Du! Hatari tupuuuu...! Yani ni shidaaaaa...!
DVJ Huntuer katika pozzzz!

DVJ Hunter katika moja na mbili..!
 

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....