MTOTO WA KAJALA 'PAULA' AINGILIA UGOMVI WA MAMA YAKE, AMPA MANENO MAZITO WEMA. SOMA HAPA
7:59 AMKutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala
Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo
na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda.
Kajala Masanja aliwa na mwanae Pauna
Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
“Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea
kuwa mama yangu,” alisema. “Mimi naona mama yangu hana makosa yoyote
wanavyomtukana,mimi nakuaga najisikia sana vibaya. Namwambia (Wema) mama
yangu Hata kama amekoseA kitu chochote amsamehe kwasababu mimi nampenda
Wema kama aunt yangu na ninampenda mama yangu tena sipendi nikiona
wanatukanana wala nini napenda wawe marafiki,nataka nimwambie Wema
nampenda sana,” alisema. Paula.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments