matukio,
mpya
MASIKINI!! KWELI DEMU WA MTU NI SUMU. TAZAMA WALIVYOMHARIBU SURA MR. NICE BAADA YA KUTAKA KUPORA DEMU WA MTU
12:32 AMNa Sakina Shabani
Ni ukweli kwamba Mungu alisaidia tu kitendo cha Mr Nice kupigwa na imekuwa nafuu kwake kuliko tukio ambalo huenda lingekuwa baya sana kwenye maisha yake la kuliwa kiboka kwa vijana waliokuwa wamepanga kumdhalilisha mwanamuziki huyo mwenye heshima kubwa Afrika Mashariki na kati.
Baada ya gazeti moja jana Jumatatu kutoa taarifa za kupigwa kwa Mr Nice kisa kikiwa mke wa mtu Xdeejayz imezama ndani kufatia ishu hiyo na kupata mkanda mzima toka kwa watu walioshuhudia tukio hilo waliiambia Xdeejayz kuwa ' Jamani huyu kijana anapaswa kumshukuru Mungu kwa adhabu hii ya kupigwa kuliko nia waliyokuwa wamepanga kumfanyia ya kwenda kumla uloda kisha kumpiga picha hizo za aibu" Alisema mama huyo ambae alimuonea huruma sana mwanamuziki huyo wakati akipewa kipigo
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments