MPYAA!! HAWA NDIO MASTAA WALIOKIRI KULA URODA NA ALIKIBA..SOMA HAPA WAKIFUNGUKA
12:54 PM
Ali
kiba ni mmoja wa wanamuziki walio kimya sana kwenye upande wa
kuongelea mambo yake binafsi, haswa kimahusiano, au hata kujitangaza
kumiliki kitu kingine chochote cha thamani kama ilivyo desturi ya
wasanii wengi hapa town baada tu ya kupata umaarufu, ila siri hufichuka
haswa pale kwa warembo hawa wanapoamua kumwaga mpunga ndipo hapo
unapoanza kujua yaliyo chini ya kapeti.Hawa ni warembo waliowahi kukiri
kuwa walishawahi kuwa na mahusiano na Celeb huyu mkongwe sana kwenye
anga za muziki huu wa Bongo Fleva.
Jackline Wolper.
Mapenzi
ya hawa wawili inasemekana yalianza enzi hizo ambapo wawili hao
walikuwa bado hawana majina kabisa hapa town, kila mmoja wao akiwa yupo
kwenye hustle zakutoka kila mmoja akiwa natetea fani yake, ila kwa
bahati nzuri AliKiba akaanza kupata umaarufu kuitia muziki hata kabla ya
Wolper kuanza ku-make headlines kupitia filamu, akiwa kama muigizaji.
“Ni
kitambo kidogo sana wote hatukuwa star lakini mwenzangu alifanikiwa
kuchomoka,lakini Ali ndiye aliyeniingiza kwenye ulimwengu wa Mapenzi”
alifunguka Wolper,
“Ali
akawa star,alipokwenda nje nikasikia wanawake wanamshobokea,sasa mimi
sikutaka karaha nikakaa pembeni,lakini jamaa ni mtu poa sana na
tukikutana tuanasalimiana freshi kabisa” alimalizia akizungumzia sababu
zilizomfanya aachane na Kiba wakati huo.
Lulu Michael.
haikujulikana
mapema kama inavyotokea kwa watu maarufu wengi hapa town, ila mahusiano
yao yalianza huko kitabo sana, baina ya Lulu na Ali Kiba, ila mwisho wa
siku Lulu aliamua kumwaga mpunga hadharani kufunguka juu ya mahusiano
yao.
“Duh!
Umenikumbusha mbali sana. Nilishasahau kabisa kama niliwahi kutoka
naye. Pamoja na kwamba ni kweli alikuwa mtu wangu, lakini kwa sasa moyo
wangu hautaki kusikia kingine zaidi ya Bieber na namuonea wivu sana
Selena Gomez (mpenzi wa Bieber).”
ila
hakutaka kuzungumzia sababu za kuachana naye, nakusea ilikuwa tu sababu
zake binafsi kwa sababu mapenzi yana taba moja kuwa ukiyag’ngania hasa
pale ambapo hauenjoy mwisho wake ni kuumizana tu, alimalizia lulu
kuelezea safari yake ya mapenzi, na hadi hivi sasa anakiri kuwa bado
yupo yupo sana.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments