,

MASOGANGE!! "MIE KIBOKO KWA INYE, HAMNA ANAYENIFIKA"....MMMMH. JISOMEE MWENYEWE HAPA

12:55 AM

MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.

Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi tofauti.

Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.
Masogange na Samia katika pozi.

Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....