MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia
‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika.
“Kuna
wakati unaweza kumwambia usitoke hadi nikuruhusu lakini cha ajabu
unakuja kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo ambalo hamkukubaliana, ni
ngumu we’ acha tu,” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa
mavaz#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

0 comments