MAKUBWA YAFICHUKA NDOA YA AFANDE SELE NA MAMA TUNDA, SOMA HAPA

12:10 AM



Gazeti La Makorokocho limefanikiwa kudaka ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa Msanii Mkongwe wa Bongo Flava Afande sele uliokua umekusudiwa kwenda kwa mama watoto wake Bibie Asha a.k.a Mama Tunda waliyeishi kwa zaidi ya miaka 10 ujumbe huo ulipotea njia na kuangukia kwenye Mikono ya Snitch Mzuri wa Makorokocho, katika Ujumbe huo inaonekana Mama Tunda alikua anataka kwenda kwa Afande Sele pamoja na Watoto lakini Afande akawa anamsihi asiende kwa sababu atakua nje ya Mkoa wa Morogoro na Afande akamlaumu mwanadada huyo anayeitwa Asha kuwa amempotezea Muda, Mali na Nguvu zake nyingi sana kwa muda wote walioishi pamoja, Afande akaombwa aachwe alone. -
 

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....