,

MAKUBWA!! SOMA HII CONVERSATION ILIYONASWA KATI YA RIDHIWAN KIKWETE NA JERRY SLAA...INAMHUSU LOWASA. NI BALAA

2:59 AM

Kwenye Ukurasa wa Facebook wa Henry Kilewo leo asubuhi nimekutana na hili:
 
"Muoneni huyu anawaza kuwa Rais baada ya kupewa ubunge.... never ever...
RZ1 AMSHAMBULIA LOWASSA 
RZ1 Jakaya Mrisho Kikwete, amemshambulia Edward Lowassa na kumuita mlevi na kamwe hataweza kuwa rais wa Tanzania baada ya baba yake, Jakaya Kikwete. Katika mazungumzo yake kwa njia ya Whatsapp kati yake na Jerry Slaa, meya wa Manispaa ya Ilala, Ridhiwani anarejea kauli yake ya miaka mingi kwamba, "Lowassa akiingia Ikulu, mimi nitahama nchi."Ukifuatilia kwa makini maelezo haya, utaweza kubaini mapema kuwa Lowassa anapigwa vita na Kikwete mwenyewe; Ridhiwani ni zumari la Kikwete katika mapambano kati ya Lowassa na yeye.RZ1 anafika mbali zaidi kwa kusema, mgogoro kati ya Zitto Kabwe na chama chake, umesababisha na Mwigulu kupandikiza watu wao ndani ya chama hicho. Kutokana na umuhimu wa hiki ambacho amekieleza, nimeona ni vema niweke hapa MF ili watu wajadili." Henry Kilewo


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....