mpya,
wasanii
MAKUBWA!! LULU AKIRI KUWA NA JINI MAHABA LINALOMFANYA AGAWE URODA KIRAHISI, SOMA HAPA
3:52 AM Akizungumza
na tovuti yetu ya TZA1961 Blog, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa
akiota anafanya ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa
anajiskia mchovu na hali hiyo imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa
wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana 'do' nao. "Hakuna
anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa
nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza
nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea
niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa
nashindwa kujizuia kuwapa uroda" alisema LULU
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments