,

KWELI WEMA SEPETU NDIO KIBOKO YAO....SOMA HAPA ALICHOKIFANYA

10:53 PM


STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.

Shindano hilo lililokuwa linaendeshwa na kampuni ya Global Publishers limefikia tamati usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar Live mbagala na Madame kuibuka mshindi
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....