Uwezi amini ukiona hii picha unaweza
zani wapo kwenye mashindano ya umiss ama backstage wakibadili nguo kwa
ajili ya show ....lakini ukweli hao walikuwa Darasani kabisa baadhi
wakaamua kuchochojoa nguo kwa kisingizio cha joto kali ....Maadali yako
wapi ?
CRDT: BONGOCLANTZ#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments