,

KAMA HUKUONA PIXHA ZA HARUSI YA P-FUNK ALIYOFUNGA HIVI KARIBUN HIZI HAPA

10:58 PM


Hatimaye P-Funk Majani Producer wa muziki wa bongofleva ambaye amedumu katika game karibuni miaka 20 amefunga ndo siku ya jana jijini Arusha, Mke wake huyu anaitwa Hiday, P-funk majana anawatoto watatu mpaka sasa wakwanza ni mkubwa tu kama hujawahi kumona Bofya HAPA na wapili ni aliyezaa na Kajala Masanja na watatu ni mdogo kabisa ambaye yupo katika picha utazoziona hapo chini
Majani akivalishwa Pete ns mkewe Hidaya

Majani akimvalisha pete Bi Hidaya
Hidaya na Mtoto mdogo wa Majani



#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....