,

HUYU MAMA SIJUI ATAIFICHA WAPI SURA YAKE KWA AIBU....AFUMANIWA NA MWANAUME WAKATI MME WAKE YUKO HOSPITAL

9:12 PM



ZUHURA NA MWANAUME ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA PAPA MANOTI WALIPONASWA NA KAMERA ZA HOTEL ILIYOPO SINZA MADUKANI JIJINI DAR.
Na Mwandishi Wetu
Kweli ni aibu kubwa mwanamke mmoja wa mtu aliyefahamika kwa jina la
Zuhura Shabani hivi karubini amenaswa akiliwa uloda  Hotel na jamaa mmoja mfanyabishara aliyefahamika kwa jina la Papa Manoti kwenye nyumba ya kulala wageni ulijulikanayo kwa jina la Manyara Lodg

Kwa mjibu wa mshuhuda wa tukio hilo walisema mwanaume wa mke aliyefumaniwa yuko Hospital mwezi wa pili sasa akiugiuza kiuno baada ya kuumia kwenye ajali ya pikipiki.

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....