Hizi ni picha ambazo mwanandada asiyeisha makeke, Huddah Monroe mshiriki wa Big Brother Africa na x girlfriend wa Mwanamziki Prezo alizopost. Inaelekea ni bisahara yake but we are not sure. Katika account yake ya Instagram amepost picha hizi zenye caption "I am a Gold-Digger!!"

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments