Show
za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka
kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker
mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku hutokosa
kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni dola140,905 ambazo nikama milioni 200 za Tanzania.

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments