Kutoka TEAMUKWELINAUWAZI instagram...Leo wameibuka na Demu wa Ney wa mitego....
Nanukuu.....
" Hivi wewe Ney wa mitego unaakili kweli sasa hapo unataka kutuambia
kitu gani ! Kua huyo siwema anasingiziwa au?? We kaka embu jitambue
msijifanye na nyie ni Diamond
na wema maana nazani Diamond angefanyiwa hivyo asingekubali kwa jinsi
tunavyomjua Diamond angeenda kuopoa kitu siku hiyo hiyo...! Harafu wewe Ney kutwa kuwasema Bongo movie malaya sasa huyo demu wako movie yake mbona kawafunika hadi Bongo
movie sasa!! Bwana We tunaujua ukweli kua demu ndio anaekuweka mjini
ubavu wa kumuacha huna ukimuacha huyo magari makali utayapata wapi?!
Demu anagawa tako mwanza Nzima inamjua umalaya umepitiliza na wewe
unalijua hilo wewe Ney pesa Ya kumnunulia gari huyo demu huna .. Chezea
kulelewa wewe yaani wewe ndio umekua wa kumuomba msamaha siwema Jina
lake lenyewe Linajieleza kwamba huyo si mwema Si_WEMA.... Eti Leo hii
unapost kapicha ka kujipooza hehe wakati unamastress shetani hataki.....
Acha mteremko mbona We JEMBE tu na unaweza kabisa au ndio mahaba niue
aaah misemo mingine ipishenibwana haya sasa na picha Za uchi juu ....
Ila kana ziwa la hatari haya nej kanyonye uendelee kua kijana.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments