,

HABARI KAMILI KUHUSU CHANZO CHA KIFO CHA MZEE GURUMO NDIO HII HAPA

1:18 AM


Watoto wa marehemu wakiwa katika majonzi na huzuni baada ya kumpoteza baba yao ambaye amafariki dunia tarehe 13 april katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa na matatizo ya moyo kwa kipindi kirefu.
Pia mdogo wa marehemu Ramadhani Mwishehe na Mtoto Mwalim Muhidin Gurumo walizungumza na sammisago,com wakielezea juu ya kifo cha Muhidin Gurumo maarufu kama Mzee Gurumo na mazishi yatakapofanyika Kisarawe Masaki
IMG_9327
“Baba yetu aliugua kwa muda mrefu sana anaugua anapata nafuu anaugua anapata nafuu siku ya mwisho jana saa kumi na moja alfajiri alizidiwa pumzi ilikuwa zimembana tukampeleka Hospitali Muhimbili pale, leo hii saa nane mchana ndiyo anaaga dunia  na prosesi za mazishi zitakuwa kesho saa tano asubuhi na atazikwa Masaki uzaramuni” Mtoto wa Marehemu Mwalim Mwidin Ngurumo.
Mdogo na Mtoto wa Marehemu walizungumza haya:
 


#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....