,

BREAKING NEWS:: MLIPUKO WA BOMU WATOKEA ARUSHA HIVI PUNDE, PATA TAARIFA KAMILI HAPA

2:41 PM


Screen Shot 2014-04-13 at 9.36.58 PMkwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.

Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
CREDIT : MILLARD AYO

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....