,

BREAKING NEWS!! KANISA LA JIMBO KATOLIKI TABORA LANUSURIKA KULIPULIWA.....SOMA ZAIDI HAPA

12:24 PM


Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.
CREDIT: KAPIPI

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....