,

BREAKING!! MELI YAZAMA ZIWA VICTORIA...SOMA ZAIDI HAPA

10:42 PM

Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.

Taarifa kamili itakujia baadaye....

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....