,

BAADA YA KUNYANG'ANYANA BWANA, VERA SIDIKA NA CHAGGA BARBIE WAANZA KURUSHIANA VIJEMBE INSTAGRAM...JIONEE HAPA

10:05 AM


Kuliibuka maneno ya chini chini baada ya mkali kutoka Kenya Prezzo kutoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la My Gal ambapo video queen wa wimbo huo alikuwa mwanadada Vera Sidika wa nchini kenya,ambapo maneno hayo ya chini chini ilikuwa inasadikika kuwa Prezzo anatoka kimapenzi na mwanadada Vera, na baada ya tukio hilo katika mtandao wa kijamii wa instagram kumekuwa na mashindano kati ya mwanadada Vera na mwandada Chagga Barbie ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa Prezzo, kwanza walianza kutishiana kwa likes za instagram kama unavoona kwenye picha hapo chini

na baada ya maneno hayo ya kutupiana juu ya likes, ikafata sehemu ya kutishiana maumbile yao kwani Vera alianza kuachia picha ikionesha makalio yake na ndipo mwanadada Chagga naye alijibu kwa kutupia picha ikiwa sawa na ya Vera, angalia picha hapo chini
watoto wa mjini wanasema wacha MOVIE IENDELEE sisi yetu macho tu,

-swahilitz.info

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....