Naitwa Arisa, Nimeishi na mume wangu mwaka wa tatu
sasa, amekua akipiga kazi mpaka nafurahi, ananifiki kilele hata mara
nne kwa siku moja, lakini sasa hivi ni wiki ya tatu hasimamishi yani
mpaka hata yeye mwenyewe anakosa amani kabisa, najaribu kumtega kwa kila
mikao na visa visa vywa kimahaba lakini imeshindikana. Naombeni ushauri
jamani kama kuna namna nikamsaidia mume wangu, nampenda sana, sitaki
kumsaliti.
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments