Kama kawaida Nimekuwa
nikifanya uchunguzi kwa nini wadada wengi wamekuwa wakifanya haya
wanayoyafanya kuanika Picha za maumbo yao na kuanika sehemu nyeti
hadarani??... Hawa dada zetu hasa waliopo vyuoni wamekuwa wakifanya
biashara hii ya ukahaba kupitia Mitandao ya kijamii hasa Facebook kwa
kutupia Picha zizokuwa na maadili ya kitanzania. Lakini kikubwa ni
kwamba wadada hawa wanatafuta mabwana kinguvu huku mitandaoni.. kwa
minadi yakuwa Mikopo ya chuo haitosh..
Onyo kwa Vijana wote wa kiume chukueni Tahadhari na hawa walimbweni maana si kingine wanachosambaza bali ni Ukimwi.
Michepuko sio Dili Baki Njia kuu
#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#
0 comments