,

MAAJABU: AMBAKA MWANAE WA MIAKA 15 NA KUSEMA ALIAMBIWA NA ROHO MTAKATIFU....BALAAA

9:02 AM


 
Ni maajabu lakini ni kweli, baba mmoja anashikiliwa na mahakama na kufikishwa kizimbani kwa kumbaka mwanae, baba huyo ajulikanaye kama Pedro Enegbe kutoka Nigeria alifanya kitendo hicho kwa mwanae ambaye ana miaka 15, cha kustaajabisha, alipopandishwa kizimbani alisema kuwa alisikia sauti ya roho mtakatifu ikimwambia afanye kitendo hicho cha ubakaji....NI MAMBO YA AJABU LAKINI NI KWELI

#SHARE THIS NEWS AND WIN!!!#

You Might Also Like

0 comments

JIUNGE UPATE HABARI

Jisajili Sasa upate E-mail ya Kila Tunachochapisha....